Sunday, September 19, 2010
Masista wa Upendo wampongeza sista mwenzao katika mahafali yake ya stashahada ya kwanza .
Masista wa Upendo wa Mt.Francisko.
Tarehe 8 August 2010, Masista wanne waliweka jubile yao ya miaka 25 ya utawa katika nyumba ya masista wa upendo wa Mt. Francisko wa Asizi Jimbo la Mahenge.
Masista hao ni sr. Agnela Njavike, Sr. Edgara Malopolopola, Sr.Oportuna Suvi na sr.Stella-matutina Liguluka.
Subscribe to:
Posts (Atom)